Swahili
Swahili
Länder: Burundi, Kenya, Kongo, Rwanda, Tanzania, Uganda
Swahili
Simba na Mbweha
Simba alikuwa amelala chumbani mwake.
Kalala usiku na mchana.
Sauti ya pekee iliyosikika kutoka kwake ni milio yake midogo yenye uchovu.
“Ni mgonjwa,” wanyama walisema huku wakimhurumia.
Wakaanza kuingia chumbani mwake wakibeba zawadi ndogondogo.